Перейти к содержимому

"SIWAGOMBEZI NI MSISITIZO TU, SISI NI WATU WAZIMA" - MWANRI

TMC NEWS TV

0:00 / 0:00

"SIWAGOMBEZI NI MSISITIZO TU, SISI NI WATU WAZIMA" - MWANRI

3 889 просмотров · 1 дн. назад
TMC NEWS TV
42,1 тыс. подписчиков
3 889 просмотров · 1 дн. назад
Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa, Agrey Mwanri, amesisitiza kuwa kauli zake ndani ya Baraza hilo si kwa lengo la kugombea au kushindana na mtu katika uchaguzi, bali ni msisitizo wa umuhimu wa vyama vya siasa kujadili masuala ya taifa kwa uwajibikaji. Mwanri ametumia mfano wa mtoto anayesema “nitakusemea kwa Daddy, nitakusemea kwa Mummy”, akiwataka viongozi wa kisiasa kuacha mtazamo huo na badala yake kujadili tofauti zao kwa ukomavu ndani ya mifumo iliyowekwa, kwa kuzingatia maslahi ya taifa. TMC NEWS | Shaping The Future Asante kwa kufuatilia TMC NEWS. Subscribe, Like na Share ili kuendelea kupata habari za uhakika, matangazo ya moja kwa moja na uchambuzi wa kina kutoka Tanzania na duniani. 🔔 Washa arifa (Notifications) ili usipitwe na taarifa muhimu. 📢 Kwa matangazo, ushirikiano na maoni: 📧 tmcnewsmedia@gmail.com 📞 +255 674 075 414 🌐 Tufuatilie kwenye mitandao yote ya kijamii: @tmcnewsmedia #tmcnews565#AgreyMwanri #BarazaLaVyamaVyaSiasa #VyamaVyaSiasa #SiasaTanzania #Tanzania #Demokrasia #Uongozi #Umoja #Maridhiano #Uwajibikaji #MaslahiYaTaifa #HabariTanzania