Перейти к содержимому

MAMA MARIA AONEKANA KISII? 😳 Nyumba Yabomolewa, Padri Atoa Maelezo

Mistazac📹📸

0:00 / 0:00

MAMA MARIA AONEKANA KISII? 😳 Nyumba Yabomolewa, Padri Atoa Maelezo

757 просмотров · 8 дней назад
Mistazac📹📸
145 подписчиков
757 просмотров · 8 дней назад
Picha iliyodaiwa kufanana na Bikira Maria ilipoonekana kwenye ukuta wa jikoni Getare, Bobasi, Kisii, watu walimiminika kwa wingi. Lakini baadaye nyumba hiyo ikabomolewa, huku Padri akitoa maelezo kuhusu chanzo cha hiyo picha. Je, ilikuwa ishara ya kiroho au ni moshi na unyevunyevu kwenye ukuta? Tazama story yote ya MistaZac na utuambie unaamini nini. Subscribe, Like & Share. 🙏🏾