Перейти к содержимому

RUTO AJIBU WANAOKOSOA JUMBA LA KIFAHARI LA KSH80 MILIONI MERU – JE, NI ANASA AU UWEKEZAJI WA TAIFA?

Mistazac📹📸

0:00 / 0:00

RUTO AJIBU WANAOKOSOA JUMBA LA KIFAHARI LA KSH80 MILIONI MERU – JE, NI ANASA AU UWEKEZAJI WA TAIFA?

44 просмотра · 2 месяца назад
Mistazac📹📸
147 подписчиков
44 просмотра · 2 месяца назад
Je, matumizi ya KSh80 milioni kukarabati State Lodge ya Meru ni uwekezaji wa taifa au ni anasa wakati wananchi wanapitia hali ngumu ya uchumi? Katika video hii tunachambua kauli ya Rais William Ruto, hoja za wanaomuunga mkono na wakosoaji wake kwa lugha rahisi na ya kueleweka. Usisahau Like, Comment, Share na Subscribe kwa uchambuzi zaidi wa siasa na masuala yanayoendelea nchini Kenya. #WilliamRuto #MeruStateLodge #KenyaPolitics #NyambundeZac