DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 05.10.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 05.10.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast
6 698 просмотров · Трансляция закончилась 5 часов назад
DW Kiswahili
336 тыс. подписчиков
6 698 просмотров · Трансляция закончилась 5 часов назад
Katika Dunia Yetu Leo Mchana:
Jeshi la Yemen latangaza mashambulizi makubwa dhidi ya Wahouthi.
Vikosi vinavyoiunga mkono serikali ya Ethiopia vimeingia mjini Mekelle, ambao ni mji mkuu wa jimbo la Tigray kaskazini mwa nchi hiyo.
Na Uchaguzi wa urais nchini Brazil umeingia katika duru ya pili kati ya rais wa sasa Luiz Inácio Lula da Silva na seneta wa mrengo wa kulia Flávio Bolsonaro.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliMchana #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'follow' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.