BINTI SHAZYA - PART 03 [ MWISHO ] - SIMULIZI YA KUSISIMUA
Ankojay Simulizi
0:00 / 0:00
BINTI SHAZYA - PART 03 [ MWISHO ] - SIMULIZI YA KUSISIMUA
78 449 просмотров · 2 года назад
Ankojay Simulizi
169 тыс. подписчиков
78 449 просмотров · 2 года назад
Ado alikuwa akitetemeka, jasho lilimtiririka japokuwa hali ya hewa ilikuwa ya baridi kali. Akajikaza na kutaka kujibu swali la Shazya, lakini akajikuta akishindwa kumtazama Shazya usoni. Shazya baada ya kuona Ado akiwa kwenye hali ile, alipata mashaka. Ado alikuwa mwenye hofu sana. Moja kwa moja Shazya akajua kuwa Ado hatomtaka tena.