BINTI SHAZYA - SIMULIZI MPYA
Ankojay Simulizi
0:00 / 0:00
BINTI SHAZYA - SIMULIZI MPYA
80 755 просмотров · 2 года назад
Ankojay Simulizi
169 тыс. подписчиков
80 755 просмотров · 2 года назад
Yalikuwa ni majira ya usiku wa saa sita. Ndani ya nyumba moja kwenye kijiji cha Mtakwa, ugomvi mkubwa baina ya mke na mume ulisikika huku sauti ya mume ikiwa juu. Mwanaume huyo alipinga swala la mkewe kupenda kumzalia watoto wakike pekee na si wa kiume.