Bachelor of Science in Information Technology with Business Analytics
Mohamed Hafidh Tz
0:00 / 0:00
Bachelor of Science in Information Technology with Business Analytics
369 просмотров · 6 дней назад
Mohamed Hafidh Tz
19,8 тыс. подписчиков
369 просмотров · 6 дней назад
IT, Business au Data? 🤔 BSc Information Technology with Business Analytics ni degree inayochanganya Information Technology, Business na Data Analytics.
Kwenye video hii tunaichambua degree hii kwa lugha rahisi: utajifunza nini, skills gani utajenga, unaweza kuelekea kwenye career zipi, AI inaingiaje kwenye field hii, na muhimu zaidi - ni mtu wa aina gani anayefaa kuichagua?
Tutagusa Programming, Databases, Data Analytics, Business Intelligence, AI, Information Systems, Business Processes na Decision Making.
Kama unapenda Technology lakini pia una interest na Business na Data, video hii itakusaidia kuielewa vizuri zaidi kabla ya kufanya uamuzi.
📌 Hii ni sehemu ya playlist ya kuchambua Degree za Technology na Digital Fields.
Subscribe na fuatilia video zinazofuata.
Usichague programme kwa kusikia jina lake. Ichague baada ya kuielewa.
🎬 Karibu Mohamed Hafidh Tz – Swahili Tech Learning Hub! 🚀
Kwenye channel hii utajifunza teknolojia kwa urahisi kupitia tutorials za hatua kwa hatua kwa Kiswahili.
💻 Topics kuu:
👉 Computer tutorials (Excel, Word)
👉 Google tools (Docs, Forms, Drive)
👉 Programming for beginners
👉 Tips & tricks za simu na kompyuta
👉 Graphic design & software usage
🔥 Mafunzo rahisi, practical na yanafaa kwa beginners.
───────
🔔 Subscribe kupata tutorials mpya kila wiki:
/ @mohamedhafidh255
───────
🌐 Nifollow pia:
WhatsApp: https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU...
Telegram: https://t.me/mohamedhafidh_tz
Instagram: / mohamedhafidh_tz
TikTok: / mohamedhafidh_tz
🙏 Asante kwa support!
#it #business #university