Kila Kitu Kuhusu DJI Air 3S | Muonekano wa Nje na Sensors (Episode 2)
Mohamed Hafidh Tz и Abdulrazak Mustafa
0:00 / 0:00
Kila Kitu Kuhusu DJI Air 3S | Muonekano wa Nje na Sensors (Episode 2)
297 просмотров · 3 недели назад
Mohamed Hafidh Tz и Abdulrazak Mustafa
297 просмотров · 3 недели назад
Kwenye Episode hii ya 2 ya mfululizo wetu wa mafunzo ya Drone, tunaileta kwenu DJI Air 3S! Kama swali letu linavyouliza, "TUNAIJUA?"... leo tunaenda kuichambua hii drone kiundani na kuangalia Hardware yake kabla hata hatujaifikiria kuiwasha.
Tutaangalia muundo wake wa nje, Specifications zake za kipekee zinazoifanya kuwa moja ya drones bora sokoni, na vitu vyote vya msingi ambavyo kila anayetaka kumiliki drone anapaswa kuvijua. Kwenye Episode inayofuata tutaangalia Remote Controller, kwa hiyo hakikisha unakaa mkao wa kula!
Kwenye video hii utajifunza:
Muonekano na Hardware design ya DJI Air 3S.
Kazi ya Dual Camera System iliyopo kwenye hii drone.
Umuhimu wa Omnidirectional Sensing na jinsi inavyoizuia drone kugonga vitu.
Uwezo wa betri (46-min Flight Time) na Video Transmission ya mpaka 20KM.
Sehemu muhimu za msingi za kuangalia kwenye body ya drone yoyote.
Kama umejifunza kitu, usisahau ku- SUBSCRIBE, ku-like, na kuacha comment yako hapo chini. Tuambie, ni kipengele gani cha DJI Air 3S kimekuvutia zaidi?
🔗 TUWE PAMOJA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII:
Tufuatilie kwenye Instagram ili kupata Updates na Behind the Scenes za utengenezaji wa video zetu:
👤 Host:
/ @mohamedhafidh255
👤 Co-Host:
https://www.instagram.com/abdulrazak_...
🎬 Karibu Mohamed Hafidh Tz – Swahili Tech Learning Hub! 🚀
Kwenye channel hii utajifunza teknolojia kwa urahisi kupitia tutorials za hatua kwa hatua kwa Kiswahili.
💻 Topics kuu:
👉 Computer tutorials (Excel, Word)
👉 Google tools (Docs, Forms, Drive)
👉 Programming for beginners
👉 Tips & tricks za simu na kompyuta
👉 Graphic design & software usage
🔥 Mafunzo rahisi, practical na yanafaa kwa beginners.
───────
🔔 Subscribe kupata tutorials mpya kila wiki:
/ @mohamedhafidh255
───────
🌐 Nifollow pia:
WhatsApp: https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU...
Telegram: https://t.me/mohamedhafidh_tz
Instagram: / mohamedhafidh_tz
TikTok: / mohamedhafidh_tz
🙏 Asante kwa support!
#drones #air3s #techreview