BADALA YA FIDIA YA BILIONI 7 APEWA HATI YA ENEO LENYE MAKABURI 300, RC KUMSAIDIA
ITV Tanzania
0:00 / 0:00
BADALA YA FIDIA YA BILIONI 7 APEWA HATI YA ENEO LENYE MAKABURI 300, RC KUMSAIDIA
45 438 просмотров · 2 дня назад
ITV Tanzania
1,38 млн подписчиков
45 438 просмотров · 2 дня назад
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Bw. Stanslaus Nyongo, ameahidi kufuatilia na kumsaidia Bw. Shabani Rajabu Hatibu kupata ufumbuzi wa changamoto ya eneo analodai kutokidhi makubaliano yaliyowekwa baada ya kupisha eneo lake lililopo Barabara ya Mandela jijini Dar es Salaam ambapo alitakiwa kupokea fidia ya zaidi ya Shilingi bilioni saba, lakini akaelezwa kukubali kulipwa kwa kupewa ardhi badala ya fedha hatua ambayo anadai Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ilimpatia eneo lenye ukubwa wa ekari saba katika eneo la Kwala, Mkoa wa Pwani, ambalo lina makaburi zaidi ya 300.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg