Kisha Nikaona Lyrics by Redemption Ministers
Hyp Tunes
0:00 / 0:00
Kisha Nikaona Lyrics by Redemption Ministers
34 761 просмотр · 1 г. назад
Hyp Tunes
81,9 тыс. подписчиков
34 761 просмотр · 1 г. назад
Kisha Nikaona by Redemption Ministers✔
KISHA NIKAONA LYRICS
STANZA 1
Kisha nikaona mji mtakatifu
Yerusalemi ukishuka kutoka mbinguni
ukiwa umeandaliwa kama Bibi Harusi
aliyepambwa Kwa Bwana wake
nikasikia sauti kubwa kutoka
katika kile kiti cha enzi ikisema
tazama maskani ya Mungu
I pamoja na wanadamu ×2
CHORUS
Atafuta machozi yao yote
na kifo hakitakuwepo tena
maana mambo hayo yote ya awali
yamekwisha toweka
mji ule utashuka kwa madhari makuu
Yesu akiwa ni kiongozi
tarumbeta zikipulizwa kwa ustadi mkuu ×2
STANZA 2
Kisha nikaona kiti cha enzi kikubwa
cheupe na yeye aketiye juu yake
ambaye nchi na mbingu zitakimbia uso wake
mahali pao hapakuonekana
nikaona wafu wakubwa wadogo
mbele yake vitabu vyote vikafunguliwa
tazama wakahukumiwa
sawasawa na matendo yao ×2
CHORUS
Atafuta machozi yao yote
na kifo hakitakuwepo tena
maana mambo hayo yote ya awali
yamekwisha toweka
mji ule utashuka kwa madhari makuu
Yesu akiwa ni kiongozi
tarumbeta zikipulizwa kwa ustadi mkuu
Official Video: • Redemption Ministers - Kisii - Kisha Nikaona
WhatsApp Channel : https://whatsapp.com/channel/0029Vanz...
THIS VIDEO IS FOR PROMOTIONAL USE ONLY.
THIS CHANNEL IS NOT MONETIZED BECAUSE WE HAVE POSTED A LOT OF MUSIC THAT IS NOT OURS.
All credits goes to the rightful owner.
WE STRICTLY HAVE NO OWNERSHIP RIGHTS TO THIS MUSIC
🔔 Turn on notifications to stay updated with new uploads! Subscribe for more Videos.
🟡Hyp Tunes: Follow Here👇 and Subscribe for More Lyrics
🔴YouTube: / @hyptunes
💲💲Support Us: https://buymeacoffee.com/hitsmusic
⏸⏹Send your Submissions to: hyptunes.main@gmail.com⏮⏮
All credits goes to the rightful owner.
WE STRICTLY HAVE NO OWNERSHIP RIGHTS TO THIS MUSIC
⭐No copyright infringement intended / Don't reupload
💌hyptunes.main@gmail.com💌
IF WE HAVE UPLOADED YOUR SONG AND YOU WANT US TO DELETE IT.
PLEASE CONTACT US ON EMAIL AND WE WILL DELETE IT IMMEDIATELY
#hyptunes #lyrics