Перейти к содержимому

Pahali Pema Lyrics - Christ Followers Ministers

Hyp Tunes

0:00 / 0:00

Pahali Pema Lyrics - Christ Followers Ministers

41 382 просмотра · 2 г. назад
Hyp Tunes
80,2 тыс. подписчиков
41 382 просмотра · 2 г. назад
Pahali Pema by CFM✔ Official Video :    • Pahali pema Official 6k Video by Christ Fo...   🔔 Turn on notifications to stay updated with new uploads! Subscribe for more Videos PAHALI PEMA LYRICS STANZA 1 Mtumishi wa Mungu Yoshua akawaambia wanaisraeli basi mcheni Bwana mkamtumikie kwa unyofu wa moyo na kwa kweli mje hekaluni mwake kwa upole yeye ni Baba yetu hakuna mwingine tena tokea mawio ya jua ametukuka milele yeye ni Baba yetu hakuna mwingine tena tokea mawio ya jua ametukuka milele Nanyi mkiona ni vibaya kumtumikia Bwana Mungu chagueni mtakayemtumikia Andiko la Yoshua mimi na nyumba yangu tutamtumikia Mungu wa majeshi aishiye hekaluni mwa Bwana ni kwa wenye subira Aliyetutoa Misri akatupandisha juu aliyezifanya ishara kubwa sana mbele ya macho yetu na kutulinda katika njia X2 CHORUS Wanaoumia na kutekwa nyara wasumbukao mioyo waje kwake Bwana wanaolemewa na mizigo mizito wana majonzi tele waje kwake Bwana kwani (hapa ndipo pema hapana pema tena kwake Yesu ndipo penye pumziko la mioyo X2) STANZA 2 Inua macho utazame mbinguni ndipo penye tumaini la wanyonge yeye ni Baba wetu hawezi tuacha japo yawe machungu vumilia ndugu x2) Huna wakati wa kupoteza dhambini Yesu anaita leo Bado kuna nafasi kwa anayetaka toba Yesu anabisha mlango fungua Kuna nchi nzuri sisi tumeahidiwa baada ya dhiki mateso Haijalishi vile sisi tumetanga mbali ni mwingi wa rehema na neema X2 CHORUS Wanaoumia na kutekwa nyara wasumbukao mioyo waje kwake Bwana wanaolemewa na mizigo mizito wana majonzi tele waje kwake Bwana kwani (hapa ndipo pema hapana pema tena kwake Yesu ndipo penye pumziko la mioyo X2) CFM. Follow Here👇👇 YouTube:    / @christfollowersministers9143   Hyp Tunes: Follow Here👇 and Subscribe for More Lyrics YouTube:    / @hyptunes   TikTok:   / hyptunes   ⏸⏹Send your Submissions to: hyptunes.main@gmail.com⏮⏮ All credits goes to the rightful owner. ⭐No copyright infringement intended / Don't reupload 💌hyptunes.main@gmail.com💌 IF WE HAVE UPLOADED YOUR SONG AND YOU WANT US TO DELETE IT. PLEASE CONTACT US ON EMAIL AND WE WILL DELETE IT IMMEDIATELY #hyptunes #christfollowers #pahalipema