Viongozi wa two term na one term wapimana nguvu uwanjani Migwena
Undugu TV
0:00 / 0:00
Viongozi wa two term na one term wapimana nguvu uwanjani Migwena
6 просмотров · 10 ч назад
Undugu TV
11,3 тыс. подписчиков
6 просмотров · 10 ч назад
Mapambano makali ya kisiasa yalishuhudiwa uwanjani Migwena kaunti ya Siaya baada ya viongozi serikalini na wale wa upinzani kukutana katika hafla ya kumkumbuka hayati Raila Odinga.
Walipoalikwa jukwaani kuwahutubia wananchi viongozi wanaomuunga mkono rais William Ruto walijitahidi kueneza injili ya kurejea kwa rais Ruto mamlakani baada ya uchaguzi mkuu mwaka ujao.
Zamu ya viongozi wa upinzani ilipowadia walifika jukwaani kwa kishindo tayari kuuzima moto uliokuwa umewashwa hapo awali na wapinzani wao