Kaunti ya Embu yaonya kuhusu ongezeko la Magonjwa ya Kisukari
Undugu TV
0:00 / 0:00
Kaunti ya Embu yaonya kuhusu ongezeko la Magonjwa ya Kisukari
6 просмотров · 2 дня назад
Undugu TV
11,3 тыс. подписчиков
6 просмотров · 2 дня назад
Kaunti ya Embu imeonya kuhusu ongezeko la magonjwa ya kisukari.
Imebainika kuwa asilimia 60 ya wagonjwa waliofanyiwa vipimo katika kambi ya matibabu waligunduliwa kuwa na kisukari na shinikizo la damu.
Idara ya afya ya Kaunti ya Embu imeeleza wasiwasi wake kuhusu kuongezeka kwa magonjwa yasiyoambukiza, hasa kisukari na shinikizo la damu, ikionya kuwa magonjwa hayo yanazidi kuwa changamoto kubwa ya afya ya umma kauntini humo.