Перейти к содержимому

USIFANYE HAYA MAKOSA 10 KWENYE SIMU YAKO KUWA MAKINI ITAKUFA MAPEMA | Jifunze na Linusi

Jifunze Na Linusi и ещё 2

0:00 / 0:00

USIFANYE HAYA MAKOSA 10 KWENYE SIMU YAKO KUWA MAKINI ITAKUFA MAPEMA | Jifunze na Linusi

53 просмотра · 2 мес. назад
Jifunze Na Linusi и ещё 2
53 просмотра · 2 мес. назад
Simu yako inaweza ikafa kabla ya muda wake, na mbaya zaidi ni kwamba unaweza ukawa unaiua mwenyewe kila siku bila kujua! 📲💔 Kwenye video hii ya leo kutoka Jifunze na Linusi, tunaenda kuangalia makosa 10 makubwa tunayofanya kila siku yanayoharibu betri, processor, na mifumo ya simu zetu za mkononi (Android & iPhone). Hakikisha unaangalia hadi mwisho, hasa kosa la 7 na la 9, kwa sababu ndio yanayoongoza kuharibu simu za wengi wetu hapa Tanzania! Kama unataka simu yako idumu kwa miaka mingi na iwe na kasi ya haraka wakati wote, acha kufanya makosa haya kuanzia leo. 📌 BONYEZA SUBSCRIBE sasa ili uendelee kujifunza mbinu za kijanja za simu (Phone Tricks), Apps bora, na ulinzi wa kidigitali kila wiki! 😎🔥 Kumbuka kuacha comment yako hapa chini: Ni kosa gani kati ya haya ulikuwa unalifanya mara kwa mara? #JifunzeNaLinusi #MbinuZaSimu #UsalamaWaSimu #phonetricks #batterytips #AndroidSwahili #teknolojia