Somo la 6: Kanuni(principles) za kuunda program za computer
NIFUNZE TECH
0:00 / 0:00
Somo la 6: Kanuni(principles) za kuunda program za computer
15 просмотров · 3 недели назад
NIFUNZE TECH
222 подписчика
15 просмотров · 3 недели назад
Karibu kwenye sehemu somo la 6 mfululizo wetu wa Principles of Programming hapa Nifunze Tech! 🚀
Kabla ya kuwa programmer mzuri anayeandika code nzuri, lazima ujue kwanza jinsi ya kufikiri na kutatua matatizo. Kwenye somo hili la leo, tunaangazia misingi ya Problem Solving na hatua kwa hatua zinazotumiwa na watayarishaji programu bingwa duniani kutatua changamoto mbalimbali kabla hata ya kugusa keyboard kuandika code.
📌 Mambo Muhimu Tuliyojadili katika Video Hii:
Umuhimu wa Problem Solving: Kwa nini hii ndiyo stadi namba moja kwa kila programmer?
Hatua 5 Kuu za Kutatua Tatizo (Problem Solving Steps):
Kuelewa Tatizo (Understanding the Problem) - Kujua nini kinahitajika.
Kupanga Mkakati (Making a Plan) - Kuweka mwongozo wa suluhisho.
Kutekeleza Mpango (Executing the Plan) - Kuanza kuandika mantiki au code.
Kupima na Kukagua (Testing & Reviewing) - Kuhakikisha suluhisho linatoa majibu sahihi.
Mifano ya IPO CHART hatua kwa hatua
💡 Kujua njia hizi kutakupa uwezo wa kuvunja tatizo gumu kuwa vipande vidogo vidogo vinavyotatuaika kwa urahisi!
🔔 Usisahau ku-SUBSCRIBE, ku-LIKE, na kuacha maoni yako hapo chini kama una swali au maoni yoyote! Twende pamoja kielimu. 💻🔥
#NifunzeTech #ProgrammingKiswahili #ProblemSolving #CodingMindset #WebDevelopment #CodingForBeginners #TanzaniaTech