Ee Bwana Nakuinulia Nafsi Yangu by J.Mgandu
Mike King'oo
0:00 / 0:00
Ee Bwana Nakuinulia Nafsi Yangu by J.Mgandu
3 364 просмотра · 4 года назад
Mike King'oo
3,24 тыс. подписчиков
3 364 просмотра · 4 года назад
Wimbo-Ee Bwana nakuinulia nafsi yangu
Mtunzi-John Mgandu
Maneno Ya Wimbo
Ee Bwana nakuinulia nafsi yangu, (ee Mungu wangu, ee Mungu wangu nimekutumaini wewe nisiaibike)×2
1. Adui zangu wasifurahi kwa kunishinda, Naam, wakungojao hawataaibika.
2. Bwana unijulishe njia zako zote Bwana, Bwana unifundishe mapito yako yote.
3. Maana wewe ndiwe Mungu wa wokovu wangu, nakungoja mchana kutwa wewe Bwana wangu.