Перейти к содержимому

EXCLUSIVE: KIJANA ALIYELAZIMISHWA KUSOMA DEGREE NA WAZAZI, AGEUKIA USHONAJI

Millard Ayo

0:00 / 0:00

EXCLUSIVE: KIJANA ALIYELAZIMISHWA KUSOMA DEGREE NA WAZAZI, AGEUKIA USHONAJI

1 704 просмотра · 5 лет назад
Millard Ayo
6,2 млн подписчиков
1 704 просмотра · 5 лет назад
Frank Manyama ni kijana aliyesoma miaka mitatu degree ya sheria baada ya shinikizo la wazazi lakini alipomaliza hakkutaka kwenda kufanya kazi ya uwakili aliyesomea badala yake aliamua kwenda kusomea masuala ya ushonaji ambapo hadi sasa ana kampuni yake ambayo ameajiri vijana wenzake zaidi ya kumi