Перейти к содержимому

MAJESHI YA YEMEN YADAI KUDHIBITI MLANGO WA BAB EL MANDEB - WAHOUTH WADAIWAIWA KUKIMBIA - VITA KALI .

Global TV Online

0:00 / 0:00

MAJESHI YA YEMEN YADAI KUDHIBITI MLANGO WA BAB EL MANDEB - WAHOUTH WADAIWAIWA KUKIMBIA - VITA KALI .

3 020 просмотров · 6 ч назад
Global TV Online
5,96 млн подписчиков
3 020 просмотров · 6 ч назад
MAJESHI YA YEMEN YAUDHIBITI MLANGO WA BAB EL MANDEB - WAHOUTH WADAIWAIWA KUKIMBIA - VITA KALI .... Majeshi ya serikali ya Yemen yamesema yamechukua udhibiti wa eneo la kimkakati la Mlango wa Bab el-Mandeb pamoja na uwanja wa ndege wa Dhubab, huku yakidai pia yamekata barabara inayounganisha Dhubab na mji wa Mokha, katika operesheni kubwa ya kijeshi dhidi ya wapiganaji wa Houthi iliyoanza Jumatatu, Oktoba 5, 2026. Operesheni hiyo, iliyopewa jina la “Dawn of Yemen”, imeungwa mkono na mashambulizi makubwa ya anga kutoka muungano unaoongozwa na Saudi Arabia. ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com