Перейти к содержимому

DARSA YA SEERA YA MTUME| WATU WA MWANZO KUINGIA KATIKA UISLAMU

Markaz ImaamMaalik

0:00 / 0:00

DARSA YA SEERA YA MTUME| WATU WA MWANZO KUINGIA KATIKA UISLAMU

153 просмотра · 3 нед. назад
Markaz ImaamMaalik
1,22 тыс. подписчиков
153 просмотра · 3 нед. назад
Katika darsa hii ya Seera ya Mtume Muhammad ﷺ, tunajadili kipindi cha mwanzo baada ya Mtume ﷺ kupewa Utume akiwa Makka, pamoja na watu wa mwanzo walioingia katika Uislamu. Tutafahamu kwa undani: Muda aliokaa Mtume Muhammad ﷺ Makka baada ya kupewa Utume. Mwanzo wa Da'wah ya Mtume ﷺ. Watu wa mwanzo kuingia katika Uislamu. Mafunzo na mambo muhimu yanayopatikana katika kipindi hiki cha mwanzo cha Da'wah. 📖 Kitabu: ألفية العراقي في السيرة 🎙️ Mfundishaji: AL AKHY ABUW RASLAAN MUWSA KILONGOZI حفظه الله ورعاه 📚 Darsa Namba: 06 Karibu kufuatilia mfululizo huu wa Darsa za Seera ya Mtume Muhammad ﷺ kutoka Markaz Al-Imaam Maalik. Usisahau: Like 👍 | Comment 💬 | Share ↗️ | Subscribe 🔔 #DarsaYaSeera #SeeraYaMtume #MtumeMuhammad #Muhammadﷺ #AlfiyyatulIraqi #AlfiyyatulIraqiFiSeera #Darsa06 #HistoriaYaMtume #Seerah #Islam #Uislamu #Daawah #MarkazAlImaamMaalik #AbuwRaslaan #DarsaZaKiislamu