Перейти к содержимому

Bei ya mbaazi yashuka mkoani Lindi

Azam TV

0:00 / 0:00

Bei ya mbaazi yashuka mkoani Lindi

974 просмотра · 3 года назад
Azam TV
3,31 млн подписчиков
974 просмотра · 3 года назад
Bei ya mbaazi imeshuka katika mnada uliofanyika leo mkoani Lindi, ambapo bei ya juu imefikia shilingi 1, 955 kwa kilo moja na ya chini shilingi 1, 950, huku bei hiyo ikiwa imeshuka kutoka shilingi 2, 152 kwa bei ya juu kwenye mnada uliopita. #AzamTVUpdates