Перейти к содержимому

Mazao ya nafaka yazidi kupanda bei

Azam TV

0:00 / 0:00

Mazao ya nafaka yazidi kupanda bei

4 266 просмотров · 4 года назад
Azam TV
3,31 млн подписчиков
4 266 просмотров · 4 года назад
Bei za nafaka, mahindi, mchele na maharage zinaendelea kupaa ambapo kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara ya mwezi huu, mathalani mahindi yameuzwa katika Soko la Dar es Salaam kutoka shilingi 800 kwa kilo kwa mwezi uliopita hadi shilingi 1000 huku sababu za bidhaa hiyo muhimu kupanda ikitajwa ni wafanyabiashara wengi kupata soko la nje la mazao yao.