Polepole ataja mambo mawili muhimu mkutano mkuu maalum CCM.
Mwananchi Digital
0:00 / 0:00
Polepole ataja mambo mawili muhimu mkutano mkuu maalum CCM.
1 348 просмотров · 5 лет назад
Mwananchi Digital
1,23 млн подписчиков
1 348 просмотров · 5 лет назад
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Nec, Humphrey Polepole amewaeleza waandishi wa habari kuwa vikao vya CCM, Kamati Kuu iliyoketi juzi na Nec iliyoketi jana wametoka na azimio linalopendekea Rais Samia anatosha kwenye nafasi hiyo ya uenyekiti wa chama. Uchaguzi huu unafanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa mwenyekiti wa CCM, Hayati John Magufuli aliyefariki dunia Machi 17, mwaka huu.