DOLLYRESTIE NA LISSAH WAWEKA WAZI KUHUSU MAUSIANO YAO,KUDATE NA MASTAA NI UTOTO,NAKULA MAISHA…
ONE VISION TV
0:00 / 0:00
DOLLYRESTIE NA LISSAH WAWEKA WAZI KUHUSU MAUSIANO YAO,KUDATE NA MASTAA NI UTOTO,NAKULA MAISHA…
2 708 просмотров · 4 дня назад
ONE VISION TV
1,15 тыс. подписчиков
2 708 просмотров · 4 дня назад
Waigizaji dollyrestie na Lissah wameweka wazi kuwa kwasasa hawawezi kudate na ma staa wa hapa nchini ni kama utoto kwao lakini pia mrembo dolly ame thibitisha kuwa kwasasa yupo kwenye mahusiano mazito sana na kwa upande wa lissah amedai kwamba yeye ana taka kula maisha kwanza kabla ya kuingia kwenye ndoa…