Перейти к содержимому

LISSU ANAWEZA KUGOMBEA URAIS? - MWANASHERIA EXAUD MROSO AFICHUA KATIBA INACHOSEMA HADHARANI!...

Global TV Online

0:00 / 0:00

LISSU ANAWEZA KUGOMBEA URAIS? - MWANASHERIA EXAUD MROSO AFICHUA KATIBA INACHOSEMA HADHARANI!...

1 198 просмотров · 2 ч назад
Global TV Online
5,99 млн подписчиков
1 198 просмотров · 2 ч назад
LISSU ANAWEZA KUGOMBEA URAIS? - MWANASHERIA EXAUD MROSO AFICHUA KATIBA INACHOSEMA HADHARANI!... e, hukumu aliyopewa Tundu Lissu inamzuia kugombea Urais, Umakamu wa Rais au Ubunge kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? Katika mahojiano haya maalum ndani ya Global TV Online, mwanasheria anafafanua kwa kina vipengele vya Katiba ya Tanzania (Ibara ya 39(1)(e), Ibara ya 47(3)(e), na Ibara ya 67(2)(d)) kuhusu sifa za mgombea na athari halisi za kisheria za hukumu hiyo kwenye safari ya kisiasa ya Tundu Lissu na nafasi yake ndani ya CHADEMA. #TunduLissu #SiasaZaTanzania #GlobalTVOnline #CHADEMA #KatibaYaTanzania ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com