DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 06.11.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 06.11.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast
29 997 просмотров · Трансляция закончилась 11 ч назад
DW Kiswahili
339 тыс. подписчиков
29 997 просмотров · Трансляция закончилась 11 ч назад
Matangazo ya mchana kutoka hapa jijini Bonn. Katika Dunia Yetu Leo Mchana tutatuama hapo nchini Tanzania utasikia:-
Mwenyekiti wa chama cha upinzani Tanzania CHADEMA Tundu Lissu atiwa hatiani kwa kosa la uchochezi baada ya mashtaka ya uhaini kushindwa kuthibitishwa.
Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limefanya tathmini ya nne ya rekodi ya haki za binaadamu ya Tanzania kupitia mchakato wa kimataifa wa Universal Periodic Review -UPR.
00:00 Utangulizi
01:19 Habari - Tundu Lissu atiwa hatiani kwa kosa la uchochezi
02:17 Habari - Mhubiri Paul Mackenzie akabiliwa na adhabu Kali
02:52 Habari - Trump na Mjumbe wa Putin wafanya Mazungumzo ya Faragha
03:45 Habari - UN: Watu mil. 90 wakabiliwa na athari kali za Mabadiliko ya Tabianchi
05:11 Habari - Uchunguzi wa Jinai wamkabili Rais Peña kufuatia mgogoro wa Benki
05:50 Habari - Somalia yatumbukia zaidi kwenye mgogoro wa kisiasa na kiusalama
07:32 Ripoti - Tundu Lissu atiwa hatiani kwa makosa ya uchochezi
12:45 Ripoti - Tanzania Yawasilisha Rekodi ya Haki za Binadamu UN
15:39 Ripoti - Hatima ya Paul Mackenzie Kujulikana Leo
20:35 Ripoti - Mgogoro wa Kisiasa Wazidi Kutikisa Somalia
23:30 Ripoti - Rais wa Paraguay Santiago Peña, ametangaza kujiuzulu
26:34 Yanayovuma Mtandaoni
30:17 Mjadala - Je, ni wakati gani sahihi wa kijana kuanza kujitegemea?
58:27 Hitimisho
#DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswa