Перейти к содержимому

TAZAMA MAANDAMANO ya CCM RUVUMA WAKIELEKEA KWENYE MKUTANO MKUBWA MBELE ya MWENYEKITI ODDO MWISHO...

Global TV Online

0:00 / 0:00

TAZAMA MAANDAMANO ya CCM RUVUMA WAKIELEKEA KWENYE MKUTANO MKUBWA MBELE ya MWENYEKITI ODDO MWISHO...

552 просмотра · 1 год назад
Global TV Online
5,93 млн подписчиков
552 просмотра · 1 год назад
TAZAMA MAANDAMANO ya CCM RUVUMA WAKIELEKEA KWENYE MKUTANO MKUBWA MBELE ya MWENYEKITI ODDO MWISHO... Ni maandamano ya wanachama wa chama cha mapinduzi yalioanzia ofisi kuu ya chama cha hicho mkoa wa Ruvuma ……na kisha kupita katika viunga mbalimbali vya manispaa ya songea na baadae kuishia katika uwanja wa matarawe ulipofanyika mkutano mkubwa wa ccm ukiongoza na mwenyekiti komredi oddo mwisho Maandamano haya kuunga mkono tukio la Tarehe 19 mwezi wa kwanza mwaka 2025 pale chama cha mapinduzi kwa kauli moja kilipompitisha rais samia Suluhu hasan kuwa mgombea wa kiti cha urais Tanzania bara huku DKT HUSSEIN MWINYI akipewa nafasi ya kuiwakilisha ccm visiwani Zanzibar na dr emmmanuel nchimbi akiwa mgombea mwenza wa rais samia Tanzania bara. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!   ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx