Перейти к содержимому

Dr. Chris Mauki : Maeneo Sita Ya Kumsifia Mume Wako

Chris Mauki

0:00 / 0:00

Dr. Chris Mauki : Maeneo Sita Ya Kumsifia Mume Wako

49 116 просмотров · 3 г. назад
Chris Mauki
381 тыс. подписчиков
49 116 просмотров · 3 г. назад
Hivi unajua kwamba hata wanaume nao wanapenda kusifiwa? Je huwa unamsifia Mume wako, au unadhani ni wewe tu ndiye unastahili kusifiwa na kupongezwa? Haya hapa maeneo 6 ya kumsifia na kumpongeza Mume wako. Jaribu uone matokeo yake