Перейти к содержимому

MWAMBA WENYE IMARA | NYIMBO ZA KRISTO | By Irene Michael | #hymn

Nyimbo Za Kristo SDA

0:00 / 0:00

MWAMBA WENYE IMARA | NYIMBO ZA KRISTO | By Irene Michael | #hymn

26 134 просмотра · 2 года назад
Nyimbo Za Kristo SDA
36,2 тыс. подписчиков
26 134 просмотра · 2 года назад
Mpendwa barikiwa na wimbo huu Singer: Irene Michael Song: Mwamba Wenye Imara Producer: Mr. RJ | RJ STUDIO Contacts j4tonnym@gmail.com +255 679 672 995 Mwamba wenye imara Kwako nitajificha! Maji haya na damu Yaliyotoka humu, Hunisafi na dhambi, Hunifanya mshindi. Kwa kazi zote pia Sitimizi sheria. Nijapofanya bidii, Nikilia na kudhii, Hayaishi makosa; Ndiwe wa kuokoa. Sina cha mkononi, Naja msalabani; Nili tupu, nivike; Ni mnyonge, nishike; Nili mchafu naja, Nioshe nisijafa. Nikungojapo chini, Na kwenda kaburini; Nipaapo mbinguni, Na kukwona enzini, Roho yangu na iwe Rahani mwako wewe.