Vanila Inavyochangia Upandaji Miti na Uhifadhi wa Mlima Kilimanjaro
Anna Peter
0:00 / 0:00
Vanila Inavyochangia Upandaji Miti na Uhifadhi wa Mlima Kilimanjaro
702 просмотра · 4 г. назад
Anna Peter
734 подписчика
702 просмотра · 4 г. назад
Tanzania Kijani:
Kampuni ya NEI iliyopo mkoani Kilimanjaro, inahamasisha upandaji wa Vanila na kununua Vanila kutoka kwa wakulima.
Kampuni hiyo pia inawafundisha wakulima namna ya kufanya Kilimo Misitu kwa kupanda mazao ya mengine ya biashara, wakati mkulima akisubiri kuvuna Vanila.
Kwa kufanya hivyo Mmea wa Vanila unachangia Upandaji Miti nakupunguza ukataji Miti au uharibifu wa Misitu ‘deforestation’ mkoani humo.
Pia Mtaalam wa Kilimo ameeleza namna upandaji wa Vanila Kilimanjaro unavyosaidia Uhifadhi wa Mlima Kilimanjaro na Mazingira.
____________________________________
Cameraperson: Justin Msechu
Drone: Ahmed Mbaraka
Writer and Producer: Anna Peter
________________________
Fatilia kipindi hiki kila JUMAMOSI saa 12:30jioni na JUMATATU saa 3:00 asubuhi TBC1.
____________________
#tanzaniakijani #mimea #vanila #uhifadhi #kilimomisitu #maendeleoendelevu #kilimanjaro #agroforest #plants #conservation #sustainabledevelopment