Перейти к содержимому

MAWASILIANO STAND YAMSHUKIA MUNGU! SIFA, KUABUDU NA INJILI ILIYOBADILISHA MAISHA YA WENGI 🔥🙌

FPCT Mlimani

0:00 / 0:00

MAWASILIANO STAND YAMSHUKIA MUNGU! SIFA, KUABUDU NA INJILI ILIYOBADILISHA MAISHA YA WENGI 🔥🙌

34 просмотра · 3 нед. назад
FPCT Mlimani
520 подписчиков
34 просмотра · 3 нед. назад
Jumapili ya jana ilikuwa ya tofauti sana pale Mawasiliano Stand! Tulianza kwa kuinua sifa na kuabudu, tukifungua milango ya uwepo wa Mungu, kisha Neno la Injili likawaka na kugusa mioyo ya wengi waliofika mahali hapo. Tazama video hii uone jinsi Mungu alivyojidhihirisha kupitia nyimbo na mahubiri. Bwana Yesu asifiwe! 👉 Usiache KuSUBSCRIBE, Ku-LIKE na KUSHARE ili kuendelea kufikisha Injili kwa wengi zaidi. #injiliyakristo #injili #kuabudu #MahubiriYaJumapili #InjiliItaendelea #mungunimwema #tanzaniagospel