Перейти к содержимому

MKUTANO WA INJILI SHEKILANGO

FPCT Mlimani

0:00 / 0:00

MKUTANO WA INJILI SHEKILANGO

67 просмотров · 10 дн. назад
FPCT Mlimani
520 подписчиков
67 просмотров · 10 дн. назад
Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya Mkutano wa Injili uliofanyika tarehe 27 Septemba Shekilango. Tumemwona Mungu akitenda mambo makubwa kupitia watumishi wake, Pastor Philipo Stephene na Mhubiri Loveness Zumba. Asante kwa wote mliojumuika nasi na kushiriki baraka hizi. Mungu awabariki sana!📸 Endelea kufuatilia kurasa zetu kwa ajili ya picha, video, na matukio yajayo:📲 @FPCT MLIMANI 📞 +255 788 563 573 #injili