Перейти к содержимому

ROHO MTAKATIFU

MADHABAHU YA NURU YA WOKOVU

0:00 / 0:00

ROHO MTAKATIFU

13 просмотров · Трансляция закончилась 1 месяц назад
MADHABAHU YA NURU YA WOKOVU
322 подписчика
13 просмотров · Трансляция закончилась 1 месяц назад
🔥 KARIBU KWENYE MAOMBI YA USIKU WA MANANE 🔥 🌙 USIKU WA VITA VYA KIROHO 🙏 Usiku huu tunasimama katika maombi tukiamini kwamba Mungu ana nguvu za kuangusha kila mpango wa adui na kutupatia ushindi. ⚔️ KWA NGUVU ZA MUNGU NITAWAANGUSHA WATESI WANGU! 📖 “Kwa Mungu tutatenda kwa ushujaa; naye ndiye atakayewakanyaga watesi wetu.” — Zaburi 60:12 🔥 Jiunge nasi katika maombi ya imani, ukombozi, ushindi na kuvunjwa kwa kila kifungo kinachozuia kusudi la Mungu katika maisha yako. 🙏 Usiku huu usikose! Mlete mtu mwenye uhitaji wa maombi na tushirikiane kumtafuta Mungu. 💰 SADAKA M-PESA: 0755562992 JINA: MOSES YOHANA ANDREA 📍 WINDOW OF HOPE MINISTRIES – NURU YA WOKOVU CHURCH PASTOR MOSES YOHANA #MaombiYaUsikuWaManane #UsikuWaVitaVyaKiroho #Maombi #Ukombozi #Ushindi #NuruYaWokovu #PastorMosesYohana