Dr. Chris Mauki: Mambo 4 wanawake huyatazama sana kwenye uchumba
Chris Mauki
0:00 / 0:00
Dr. Chris Mauki: Mambo 4 wanawake huyatazama sana kwenye uchumba
10 980 просмотров · 4 г. назад
Chris Mauki
382 тыс. подписчиков
10 980 просмотров · 4 г. назад
Inawezekana unahangaika sana kwenye mahusiano, unaachwa hovyo na hujui ni kwanini, kumbe shida ni kwa sababu hujui vitu wanawake wanatazama zaidi kwenye mahusiano, wewe unajikaanga kila siku kwa kutokujua. Itakukosti na ukifanya mchezo utachelewa sana kuoa. Nifuatilie hapa
nikusaidie.
Mambo 5 wanaume huyatazama sana kwenye uchumba: • Dr. Chris Mauki: Mambo 5 wanaume huyatazam...
#DrChrisMauki#Wanawake#KwenyeUchumba