Перейти к содержимому

MATUMIZI YA KI

Mukutsi Kelvin

0:00 / 0:00

MATUMIZI YA KI

3 461 просмотр · 6 л. назад
Mukutsi Kelvin
553 подписчика
3 461 просмотр · 6 л. назад
Katika hii video ninashughulikia sehemu ya sarufi, narejelea matumizi ya kiambishi ki-. Utagundua kuwa nimeshughulikia njia sita mbalimbali za matumizi ya ki-. Mojawapo ya njia hizi mbalimbali za matumizi ya ki- ni ki- ya Kiwakilishi... Tazama ujipe uhondo.