MDAHALO #LIVE: JE, WAKRISTO (MANASARA) NI MAKAFIRI?
BAYYINAT DM TV
0:00 / 0:00
MDAHALO #LIVE: JE, WAKRISTO (MANASARA) NI MAKAFIRI?
2 825 просмотров · Трансляция закончилась 17 ч назад
BAYYINAT DM TV
45,6 тыс. подписчиков
2 825 просмотров · Трансляция закончилась 17 ч назад
Siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la baadhi ya Masheikh wa Kiislamu wanadai kuwa “Wakristo ni Makafiri.” Baada ya kuzisikia kauli hizo, Wakristo wamwataka Masheikh hao wajitokeze ili wathibitishe kauli zao kwa ushahidi wa Quran na vitabu vya hadithi.
Katika mdahalo huu Sheikh Abdul Kada na Mwalimu Dr. Daniel Mwankemwa watahojiana kuhusu madai hayo. Karibu tusikilize.