Перейти к содержимому

AJALI YA TRENI YA TAZARA! MABEHEWA 14 YA TRENI YAANGUKA NJOMBE - WATU 2 WAFARIKI - WANNE WAJERUHIWA

Global TV Online

0:00 / 0:00

AJALI YA TRENI YA TAZARA! MABEHEWA 14 YA TRENI YAANGUKA NJOMBE - WATU 2 WAFARIKI - WANNE WAJERUHIWA

4 647 просмотров · 5 ч назад
Global TV Online
5,99 млн подписчиков
4 647 просмотров · 5 ч назад
AJALI YA TRENI YA TAZARA MABEHEWA 14 YA TRENI YAANGUKA NJOMBE, WATU 2 WAFARIKI, WANNE WAJERUHIWA Watu wawili wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa kufuatia ajali ya mabehewa 14 ya treni ya mizigo ya TAZARA kudondoka katika maeneo ya vijiji vya Utiga na Lyadebwe, Wilayani Wanging'ombe, Mkoani Njombe. Akizungumza kuhusu tukio hilo, Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe, Zakaria Mwansasu, ameeleza kuwa treni hiyo iliyokuwa ikitokea nchini Zambia kuelekea Tanzania ikiwa na shehena ya shaba ilipata hitilafu ya kiufundi kwenye moja ya injini zake mbili. Wakati hatua za kiufundi (shunting) zikichukuliwa, mabehewa hayo yalianza kurudi nyuma kwa kasi na kudondoka katika maeneo tofauti yaliyotenganishwa kwa umbali wa zaidi ya kilomita 10. Tazama video hii kufahamu kiini cha ajali, hali ya majeruhi, na taarifa kamili ya serikali kuhusu urejeshwaji wa miundombinu ya reli ya TAZARA. #Tazara #AjaliYaTreni #Njombe #HabariMpya #GlobalTVOnline #TanzaniaNews ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com