Перейти к содержимому

Usiwekeze kwenye hisa kabla ya kufanya fundamental analysis

Nuru Paul

0:00 / 0:00

Usiwekeze kwenye hisa kabla ya kufanya fundamental analysis

139 просмотров · 11 дн. назад
Nuru Paul
336 подписчиков
139 просмотров · 11 дн. назад
Kama una lengo la kuwekeze kwa muda mrefu kwenye soko la hisa inabidi ufanye fundamental analysis. Kwenye video hii nimeelezea mambo yafuatayo 00:40- Maana ya fundamental analysis 2:13- Nani anaweza kufanya fundamental analysis 5:44- qualitative analysis 10:08- quantitative analysis 13:42- Tools of fundamental analysis