Перейти к содержимому

LITANIA MAMA BIKIRA MARIA || Valeriana Mayagaya | MwanaSayuni

Valeriana Simon

0:00 / 0:00

LITANIA MAMA BIKIRA MARIA || Valeriana Mayagaya | MwanaSayuni

3 289 просмотров · 3 г. назад
Valeriana Simon
19,4 тыс. подписчиков
3 289 просмотров · 3 г. назад
Tumsifu daima Mama yetu mbarikiwa kwa kusali litania hii. Tunapomsifu Bikira Maria, hakai nazo sifa hizo, bali naye huzipeleka moja kwa moja kwa Mungu Mwenyezi aliyemtendea Makuu, ambaye Jina lake ni takatifu. Tunapomsifu Bikira Maria, yeye huanza kuimba ule utenzi wake adhimu, "Moyo wangu wamtukuza Bwana" maarufu kama "Magnificat" Shetani anaichukia sana sana litania hii, anasema kila mara tunapotaja sifa za Bikira Maria, kwake ni mjeledi! basi tusali mara kwa mara litania hii ili tuishinde nguvu ya mwovu maishani. Ave Maria! Karibu Sikiliza Wimbo unahamasiaha kusali Rozari takatifu, utajifunza mengi humo.    • TUSALI ROZARI || Valeriana Mayagaya & Frie...