Upepo wa Trump sasa waelekea Canada
UTV Tanzania
0:00 / 0:00
Upepo wa Trump sasa waelekea Canada
12 025 просмотров · 18 часов назад
UTV Tanzania
180 тыс. подписчиков
12 025 просмотров · 18 часов назад
Mchambuzi wa Masuala ya Kimataifa Ibrahim, Rahby amesema makubaliano na mazungumzo ya hivi karibuni kati ya Marekani na Iran yamepunguza kwa kiasi fulani mvutano kati ya nchi hizo, huku akieleza kuwa mwelekeo wa Rais Donald Trump sasa unaonekana kuelekea Canada kutokana na kuongezeka kwa mvutano kati ya Washington na Ottawa.
Rahby amesema Marekani na Canada kwa sasa zinavutana katika masuala mbalimbali ikiwemo biashara na matumizi ya Ziwa Ontario.
Amesema iwapo Canada itaamua kuingia katika makubaliano ya kibiashara yanayokwenda kinyume na matakwa ya Marekani huenda hali hiyo ikaongeza zaidi mvutano na kuzua mgogoro mwingine.