Перейти к содержимому

Ungependa kufanya mafunzo kwa vitendo katika UN? Msikilize mnufaika, Zephania Opiyo

Habari za UN

0:00 / 0:00

Ungependa kufanya mafunzo kwa vitendo katika UN? Msikilize mnufaika, Zephania Opiyo

254 просмотра · 1 месяц назад
Habari za UN
57,5 тыс. подписчиков
254 просмотра · 1 месяц назад
#HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #unnewskiswahili Anold Kayanda wa Idhaa hii anazungumza na kijana Zephania Opiyo ambaye kwa miezi zaidi ya sita amefanikiwa kushiriki katika kazi mbalimbali ndani ya Umoja wa Mataifa akiwa kwanza kama Mwanafunzi wa vitendo na baadaye Mshauri Mtaalamu katika Idara ya Umoja wa Mataifa ya Operesheni na Usaidizi (DOS) ambako amekuwa akihudumu katika uchambuzi wa taarifa za takwimu. Karibu tusikilize mazungumzo yao kuhusu safari ya kijana huyo kutoka Tanzania anayekamilisha muda wake katika Umoja wa Mataifa kabla ya kurejea masomoni kuongeza elimu zaidi.