Umoja wa Mataifa na Sudan Kusini waimarisha maandalizi dhidi ya Ebola
Habari za UN
0:00 / 0:00
Umoja wa Mataifa na Sudan Kusini waimarisha maandalizi dhidi ya Ebola
126 просмотров · 1 месяц назад
Habari za UN
57,5 тыс. подписчиков
126 просмотров · 1 месяц назад
#HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #unnewskiswahili
Mwanzoni mwa wiki hii Ujumbe wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa ukiongozwa na Ramanathan Balakrishnan ambaye ni Kaimu Naibu Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, umetembelea jimbo la Equatoria Magharibi nchini Sudan Kusini, kwa lengo la kuimarisha ushirikiano na mamlaka za jimbo hilo katika kuunga mkono amani, usalama wa misaada ya kibinadamu na maandalizi ya kukabiliana na Ebola. Cynthia Akhangwa na maelezo zaidi.