Vijana, Wanawake kunufaika na mazingira wezeshi ya kibiashara
Azam TV
0:00 / 0:00
Vijana, Wanawake kunufaika na mazingira wezeshi ya kibiashara
616 просмотров · 4 года назад
Azam TV
3,31 млн подписчиков
616 просмотров · 4 года назад
Rais Samia Suluhu Hassan amesema katika kuhakikisha kunakuwa na mazingira wezeshi ya biashara kwa vijana na wanawake, Serikali imepunguza kodi na tozo katika maeneo mbalimbali ili kurahisisha ukuaji wa biashara na kipato kwa makundi hayo.