🔥 RAIS MWINYI AWAAPISHA WAJUMBE WA TUME YA MIPANGO ZANZIBAR | IKULU ZANZIBAR
Tifu Tv
0:00 / 0:00
🔥 RAIS MWINYI AWAAPISHA WAJUMBE WA TUME YA MIPANGO ZANZIBAR | IKULU ZANZIBAR
893 просмотра · 19 часов назад
Tifu Tv
45,1 тыс. подписчиков
893 просмотра · 19 часов назад
RAIS DKT.MWINYI AMEWAAPISHA WAJUMBE WA TUME YA MIPANGO ZANZIBAR.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaapisha wajumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar.
Tume hiyo inajukumu la kuratibu mipango ya maendeleo, kuweka vipaombele na kufuatilia utekelezaji wake.
Hafla ya uapisho imefanyika leo, tarehe 22 Oktoba 2026, Ikulu Zanzibar, na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, akiwemo Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman, na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, pamoja na viongozi wengine wa serikali.
Wajumbe walioapishwa ni:
1. Mhe. Mansura Mosi Kassim
2. Mhe. Dkt. Mwinyi Talib Haji
3. Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed
4. Mhe. Omar Said Shaaban
5. Mhe. Rahma Kassim Ali
6. Mhe. Shaaban Ali Othman
7. Mhe. Dkt. Juma Malik Akil
8. Mhe. Dkt. Nasra Nassor Omar
9. Mhe. Amina Khamis Shaaban
10. Mhe. Joseph J. Semboja
11. Mhe. Dkt. Twahir Mohammed Khalfan