RAIS MWINYI AWAAPISHA WAJUMBE 11 WA TUME YA MIPANGO ZANZIBAR
ASAM Online TV
0:00 / 0:00
RAIS MWINYI AWAAPISHA WAJUMBE 11 WA TUME YA MIPANGO ZANZIBAR
690 просмотров · 11 часов назад
ASAM Online TV
22,6 тыс. подписчиков
690 просмотров · 11 часов назад
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaapisha wajumbe 11 wa Tume ya Mipango Zanzibar, yenye jukumu la kuratibu mipango ya maendeleo, kuweka vipaumbele na kufuatilia utekelezaji wake.
Hafla ya uapisho imefanyika leo, Oktoba 22, 2026, katika Ikulu Zanzibar, na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, akiwemo Makamu wa Kwanza wa Rais, Mhe. Othman Masoud Othman, na Makamu wa Pili wa Rais, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.
Wajumbe walioapishwa ni:
Mhe. Mansura Mosi Kassim
Mhe. Dkt. Mwinyi Talib Haji
Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed
Mhe. Omar Said Shaaban
Mhe. Rahma Kassim Ali
Mhe. Shaaban Ali Othman
Mhe. Dkt. Juma Malik Akil
Mhe. Dkt. Nasra Nassor Omar
Mhe. Amina Khamis Shaaban
Mhe. Joseph J. Semboja
Mhe. Dkt. Twahir Mohammed Khalfan
Tume hiyo inatarajiwa kutekeleza majukumu yake katika kuratibu mipango ya maendeleo na kufuatilia utekelezaji wa vipaumbele vya Zanzibar.
#AsamOnlineTV #AsamMediaGroup #Zanzibar #RaisMwinyi #TumeYaMipango #MaendeleoZanzibar