Перейти к содержимому

PART 01 - SIO BILA WEWE | SIMULIZI MPYA

Ankojay Simulizi

0:00 / 0:00

PART 01 - SIO BILA WEWE | SIMULIZI MPYA

28 297 просмотров · 2 дня назад
Ankojay Simulizi
170 тыс. подписчиков
28 297 просмотров · 2 дня назад
Katika Vitu kamwe kusahau siwezi ni pamoja na siku hii. Kuna muda natamani kusema isingekuwa na isingetokea lakini mpaka sasa kwa asilimia kubwa sana, kwa moyo wangu na hisia zangu zote huwa napiga magoti na kumshukuru Mungu kwaajili ya siku hii.