MALISA AKABIDHIWA OFISI,ATOA MUELEKEO WA TABORA AITAKAYO
Cg Online Tv
0:00 / 0:00
MALISA AKABIDHIWA OFISI,ATOA MUELEKEO WA TABORA AITAKAYO
2 320 просмотров · 7 дней назад
Cg Online Tv
97,4 тыс. подписчиков
2 320 просмотров · 7 дней назад
#CgOnlineTv #Malisa #RcMalisa #Tabora
Mkuu wa Mkoa mpya wa Tabora, Beno Malisa, amekabidhiwa rasmi ofisi na kuanza majukumu yake, akieleza mwelekeo wa Tabora anayoitaka ukiwemo kuimarisha ushirikiano miongoni mwa viongozi, watumishi na wananchi.
Malisa pia amesisitiza umuhimu wa kufanya maandalizi mapema kukabiliana na mvua kubwa zilizotabiriwa kunyesha mwaka huu, huku akitoa wito kwa wadau wote kushirikiana kuhakikisha usalama na maendeleo ya wananchi yanaendelea kupewa kipaumbele.