BOOK INSIGHTS WITH MATIKO JOSEPH — SHOE DOG
Matiko Joseph
0:00 / 0:00
BOOK INSIGHTS WITH MATIKO JOSEPH — SHOE DOG
32 просмотра · 1 месяц назад
Matiko Joseph
134 подписчика
32 просмотра · 1 месяц назад
Shoe Dog inatukumbusha kwamba si lazima uwe tayari kabisa ili kuanza. Mara nyingi, experience, confidence na uwezo hujengwa baada ya kuchukua hatua - kupitia kujifunza, kukosea, kurekebisha na kuendelea.
Usisubiri kuwa tayari. Anza, jifunze, na ukue njiani.
🌱 JIUNGE NA MINDSET HUB
Community ya vijana wenye ndoto, maarifa na kiu ya kukua pamoja.
📩 DM “NIUNGE” ili ujiunge.
0756 040 955
Mindset Hub Group Link
🔗 [https://chat.whatsapp.com/HaVANyF26FA...]
Powered by PrintingMile
Building Brands. Building Minds.
Kwa Design, Printing, Branding & Custom Apparel - wasiliana nasi kupitia DM.
#BookInsights #MatikoJoseph #MindsetHub #PersonalGrowth