Перейти к содержимому

NGUVU YA NURU - Ep 03 (SEASON 02)

Wachu Movies

0:00 / 0:00

NGUVU YA NURU - Ep 03 (SEASON 02)

4 056 просмотров · 1 месяц назад
Wachu Movies
51,9 тыс. подписчиков
4 056 просмотров · 1 месяц назад
Vita ya imani ni kubwa sana, kimwili unaweza kuwa sawa lakini kiroho bado mweupe kabisa, Vita ya kiroho inahamia Nzela, Je Mchungaji atashinda majaribu ya imani? Wachawi na nguvu za kipepo zinazotawala mji huo zinamuona kama tishio, na sasa mashambulizi ya kiroho yanaanza. Je, ataweza kusimama imara? Je, imani yake itamvusha kwenye giza hili? Tazama simulizi hii ya kusisimua ya maombi, majaribu, mapambano na ushindi wa kiroho. ✅ Usisahau ku-Like, Ku-Subscribe na Kushare kwa wengine. #Uchawi #Imani #VitaYaKiroho #Maombi #Mchungaji #Majini #FilamuZaKibongo