Перейти к содержимому

NDEGE ZA KIVITA ZA ISRAEL ZAPIGA MAZOEZI MPAKANI MWA IRAN - HOFU YA VITA KUBWA NYINGINE YAONGEZEKA

Global TV Online

0:00 / 0:00

NDEGE ZA KIVITA ZA ISRAEL ZAPIGA MAZOEZI MPAKANI MWA IRAN - HOFU YA VITA KUBWA NYINGINE YAONGEZEKA

18 816 просмотров · 18 часов назад
Global TV Online
5,98 млн подписчиков
18 816 просмотров · 18 часов назад
NDEGE ZA KIVITA ZA ISRAEL ZAPIGA MAZOEZI MPAKANI MWA IRAN - HOFU YA VITA KUBWA NYINGINE YAONGEZEKA Hofu ya kuzuka upya kwa vita kubwa Mashariki ya Kati imeongezeka baada ya makumi ya ndege za kivita za Israel pamoja na ndege za kuongeza mafuta angani kuruka juu ya anga ya Syria na Iraq kuelekea mpakani mwa Iran. Hatua hii imezua taharuki ya kiusalama huku kukiwa na mashaka kuhusu nia halisi ya operesheni hiyo ya kijeshi. Katika video hii, tunachambua undani wa ripoti hiyo, msimamo wa Marekani, hofu ya viongozi wa kijeshi nchini Israel kuhusu kuathiriwa kwa uchaguzi, pamoja na uwezekano wa Iran kujibu mapigo. ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com