DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 22.10.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 22.10.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
5 099 просмотров · Трансляция закончилась 7 часов назад
DW Kiswahili
337 тыс. подписчиков
5 099 просмотров · Трансляция закончилась 7 часов назад
Miongoni mwa tuliyokuandalia jioni ya leo:-
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC, pamoja na maafisa wake, wametunukiwa Tuzo ya Sakharov ya mwaka 2026.
-Saudi Arabia imesema imezidungua ndege zisizo na rubani katika maeneo ya Riyadh na mji mtakatifu wa Madina.
-Tanzania imezindua mpango wake wa utoaji bima ya afya kwa wote,uliyogawanywa katika makundi mawili likiwamo liinalowalenga watu wa makundi maalum yasiyo na uwezo wa kujigharamia.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'follow' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.